Ufafanuzi wa haza katika Kiswahili

haza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    onya, asa, kanya

Matamshi

haza

/haza/