Ufafanuzi wa hegemonia katika Kiswahili

hegemonia

nominoPlural hegemonia

  • 1

    hali ya kikundi kimoja kukubalika kutawala kikundi kingine bila kutumia mabavu.

  • 2

    mamlaka au amri agh. ya dola moja juu ya dola nyingine.

Asili

Kng

Matamshi

hegemonia

/hɛgɛmɔnija/