Ufafanuzi wa hemera katika Kiswahili

hemera, hemea

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka pahali pako wakati wa shida ya njaa kwenda kwingine kutafuta chakula.

Matamshi

hemera

/hɛmɛra/