Ufafanuzi wa hemewa katika Kiswahili

hemewa, emewa

kitenzi sielekezi

  • 1

    zongwa na kazi nyingi; choka kutokana na kazi nyingi.

  • 2

    shindwa au pitwa na mambo.

    hemewa

Matamshi

hemewa

/hɛmɛwa/