Ufafanuzi wa heria katika Kiswahili

heria

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~sha, ~wa

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    tia nanga chombo.

Asili

Kre

Matamshi

heria

/hɛrija/