Ufafanuzi wa hiana katika Kiswahili

hiana

nominoPlural hiana

 • 1

  kumnyima mtu mwingine asifaidike na ulichonacho.

  uchoyo, ubahili

 • 2

  kutomfanyia mtu haki.

  ‘Fanya hiana’
  udhalimu

Asili

Kar

Matamshi

hiana

/hijana/