Ufafanuzi msingi wa hivi katika Kiswahili

: hivi1hivi2

hivi1

kielezi

  • 1

    kama inavyoonekana.

    ‘Fanya hivi!’

Matamshi

hivi

/hivi/

Ufafanuzi msingi wa hivi katika Kiswahili

: hivi1hivi2

hivi2

kiunganishi

  • 1

    neno la kuashiria kauli iliyotajwa.

    ‘Amesema hivi , ati atakuja kesho’

Matamshi

hivi

/hivi/