Ufafanuzi wa homa katika Kiswahili

homa

nominoPlural homa

  • 1

    ugonjwa ambao unafanya joto la mwili kuwa juu zaidi kuliko kawaida.

    ‘Shikwa na homa’

Asili

Kar

Matamshi

homa

/hɔma/