Ufafanuzi wa homanyongo katika Kiswahili

homanyongo

nomino

  • 1

    ugonjwa unaosababisha nyongo kusambaa mwilini na macho kuwa ya rangi ya njano; homa ya manjano.

Matamshi

homanyongo

/hɔmaɲɔngɔ/