Ufafanuzi wa hongeza katika Kiswahili

hongeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    -pa mtu zawadi za pongezi.

Matamshi

hongeza

/hɔngɛza/