Ufafanuzi wa hujaji katika Kiswahili

hujaji

nominoPlural majaji

Kidini
  • 1

    Kidini
    Mwislamu anayekwenda kuhiji Makka.

Asili

Kar

Matamshi

hujaji

/huʄaʄi/