Ufafanuzi wa huluti katika Kiswahili

huluti

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vitu mahali pamoja.

    changanya, binganya

Asili

Kar

Matamshi

huluti

/huluti/