Ufafanuzi wa hutubia katika Kiswahili

hutubia

kitenzi elekezi

  • 1

    ongea mbele ya watu ukiwaeleza mambo mbalimbali unayotaka wayajue.

Asili

Kar

Matamshi

hutubia

/hutubija/