Ufafanuzi wa huzunisha katika Kiswahili

huzunisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mtu huzuni.

    ‘Kifo chake kimetuhuzunisha’
    sikitisha

  • 2

    charua

Asili

Kar

Matamshi

huzunisha

/huzuni∫a/