Ufafanuzi wa iba katika Kiswahili

iba

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kitu cha mtu mwingine kwa siri bila ya ruhusa au haki; twaa kitu kwa hila au werevu.

    kwapua, chukua

Matamshi

iba

/Iba/