Ufafanuzi wa idhinisha katika Kiswahili

idhinisha

kitenzi elekezi

  • 1

    toa ruhusa jambo fulani lifanyike, agh. kwa maandishi.

    pitisha, halalisha

Asili

Kar

Matamshi

idhinisha

/Iðini∫a/