Ufafanuzi wa Idul Fitri katika Kiswahili

Idul Fitri

  • 1

    sikukuu ya Waislamu inayoadhimishwa baada ya kumalizika kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani.