Ufafanuzi wa iga katika Kiswahili

iga

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa

  • 1

    tenda jambo kama anavyofanya mwingine.

    methali ‘Ukimwiga tembo kunya utapasuka msamba’
    tabii, taba, geza, tabahari, fuata, fuasa

Matamshi

iga

/Iga/