Ufafanuzi wa imba katika Kiswahili

imba

kitenzi elekezi

  • 1

    tamka maneno kwa sauti ya muziki.

    ghani, faladi

Matamshi

imba

/Imba/