Ufafanuzi wa injekta katika Kiswahili

injekta

nominoPlural injekta

  • 1

    pampu ambayo hutumika katika injini ya gari kuongezea mafuta.

Asili

Kng

Matamshi

injekta

/Inʄɛkta/