Ufafanuzi wa injika katika Kiswahili

injika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka chombo cha kupikia k.v. sufuria juu ya moto tayari kupikia.

    teleka

Matamshi

injika

/Inʄika/