Ufafanuzi wa inspekta katika Kiswahili

inspekta

nominoPlural minspekta

  • 1

    ofisa wa polisi aliye juu ya sajini na chini ya mrakibu.

  • 2

    mkaguzi

Asili

Kng

Matamshi

inspekta

/Inspɛkta/