Ufafanuzi wa ishiwa katika Kiswahili

ishiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    pungukiwa na kitu, agh. fedha au nguvu.

    ‘Ishiwa fedha’

Matamshi

ishiwa

/I∫iwa/