Ufafanuzi wa isitoshe katika Kiswahili

isitoshe

kielezi

  • 1

    zaidi ya hayo; pamoja na hayo.

    aidha

Matamshi

isitoshe

/Isitɔ∫ɛ/