Ufafanuzi wa italiki katika Kiswahili

italiki

nominoPlural italiki

  • 1

    umbo jembamba la herufi za mlazo zilizopigwa chapa kitabuni ili kuzitofautisha na nyinginezo au kusisitizia neno fulani.

    ‘Mifano yote katika kamusi hii imepigwa chapa kwa italiki’
    mlazo

Asili

Kng

Matamshi

italiki

/Italiki/