Ufafanuzi wa itisha katika Kiswahili

itisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    arifu watu wahudhurie mkutano au baraza.

    ‘Itisha mkutano wa halmashauri’

  • 2

    taka kitu kiletwe.

    ‘Itisha faili’

Matamshi

itisha

/Iti∫a/