Ufafanuzi wa ito katika Kiswahili

ito

nominoPlural ito

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    nakshi au mapambo ya sura ya jicho kwenye omo la jahazi, dau na mashua.

Matamshi

ito

/Itɔ/