Ufafanuzi msingi wa jabali katika Kiswahili

: jabali1jabali2

jabali1

nominoPlural majabali, Plural jabali

 • 1

  mwamba mkubwa.

  jiwe

 • 2

  kilima au mlima wa mwamba.

Matamshi

jabali

/ʄabali/

Ufafanuzi msingi wa jabali katika Kiswahili

: jabali1jabali2

jabali2

nominoPlural majabali, Plural jabali

 • 1

  mshono ulioko mgongoni mwa kanzu kutoka bega hadi bega.

Asili

Kar

Matamshi

jabali

/ʄabali/