Ufafanuzi wa jasho katika Kiswahili

jasho

nominoPlural jasho

  • 1

    fukuto la mwilini; majimaji yanayotokana kwenye mwili wakati mtu anapofanya kazi ya nguvu, anapokimbia au wakati wa joto.

    hari, harara

  • 2

    nguvu

Asili

Kar

Matamshi

jasho

/ʄa∫ɔ/