Ufafanuzi wa jazba katika Kiswahili

jazba, jadhba

nominoPlural jazba

  • 1

    hisia au taathira ya mawazo inayomfanya mtu ajisahau nafsi yake.

    munkari

Asili

Kar

Matamshi

jazba

/ʄazba/