Ufafanuzi wa jefule katika Kiswahili

jefule

nominoPlural jefule

 • 1

  tabia ya kuwa na matata kila mara.

  ‘Nimemtoa jefule yake’
  ukorofi

 • 2

  hali ya kutokuwa na utulivu.

  ‘Usituletee jefule’

Asili

Kar

Matamshi

jefule

/ʄɛfulɛ/