Ufafanuzi wa jeraha katika Kiswahili

jeraha

nomino

  • 1

    mkato au mchubuko ulio katika mwili ambao haujatunga usaha.

    ‘Tia jeraha umiza’
    chibuko

  • 2

    athari

Asili

Kar

Matamshi

jeraha

/ʄɛraha/