Ufafanuzi wa jiaminisha katika Kiswahili

jiaminisha

kitenzi sielekezi

  • 1

    onyesha kuwa unaweza kufanya jambo fulani.

Matamshi

jiaminisha

/ʄijamini∫a/