Ufafanuzi wa jika katika Kiswahili

jika

kitenzi sielekezi

  • 1

    jikamua kama kuku anavyofanya anapotaga yai, mtu aendapo choo au mwanamke azaapo.

Matamshi

jika

/Ę„ika/