Ufafanuzi wa jikomba katika Kiswahili

jikomba

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    jitafutia masilahi kwa kujipendekeza kwa wenye uwezo.

    jipendekeza

Matamshi

jikomba

/ʄikɔmba/