Ufafanuzi wa jimamasa katika Kiswahili

jimamasa

kitenzi sielekezi

  • 1

    sema maneno yanayoonyesha kujifanya kutoelewa lililofanyika au lililosemwa; vungavunga maneno.

Matamshi

jimamasa

/Ê„imamasa/