Ufafanuzi wa jina katika Kiswahili

jina

nominoPlural mana

  • 1

    neno la kumtaja mtu au kitu.

    ‘-pa jina’
    ‘Toa jina’
    ‘Pata jina’

Matamshi

jina

/ʄina/