Ufafanuzi wa jinaki katika Kiswahili

jinaki

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    jitangazia sifa; jitakasa kuwa huna makosa.

    jisifu, jibodoa, jifutua, jigamba, jifaragua, jikita, jinadi, jivuna

Matamshi

jinaki

/ʄinaki/