Ufafanuzi msingi wa jini katika Kiswahili

: jini1jini2

jini1

nomino

 • 1

  kiumbe asiyeonekana anayefikiriwa kuwa anadhuru watu.

 • 2

  mtu mwenye vitimbi; mtu mwovu.

  ‘Humwezi yule jini , atakalo lazima afanye’
  habithi

Asili

Kar

Matamshi

jini

/ʄini/

Ufafanuzi msingi wa jini katika Kiswahili

: jini1jini2

jini2

nomino

 • 1

  pombe kali ya jamii moja na brandi.

Asili

Kng

Matamshi

jini

/ʄini/