Ufafanuzi wa jinsi katika Kiswahili

jinsi

nominoPlural jinsi

 • 1

  hali ya kuwa mume au mke.

  uana

 • 2

  namna kitu kilivyo.

  ‘Fanya jinsi ulivyoelekezwa’
  ‘Eleza jinsi kitu hicho kilivyo’
  mwenendo, sampuli, aina, nui

 • 3

  kabila na asili ya mtu.

  jamaa

Asili

Kar

Matamshi

jinsi

/ʄinsi/