Ufafanuzi wa jisaidia katika Kiswahili

jisaidia

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda haja chooni au popote penye faragha.

    ‘Alijisaidia uani’

  • 2

    fanya jambo la manufaa kwako.

Matamshi

jisaidia

/ʄisaIdija/