Ufafanuzi wa jitambulisha katika Kiswahili

jitambulisha

kitenzi sielekezi

  • 1

    eleza ubini na shughuli zako.

Matamshi

jitambulisha

/ʄitambuli∫a/