Ufafanuzi wa jitanua katika Kiswahili

jitanua

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na matumizi ya anasa; kupenda kujifaharisha.

Matamshi

jitanua

/ʄitanuwa/