Ufafanuzi wa jivalia katika Kiswahili

jivalia

kitenzi sielekezi

  • 1

    vaa ovyoovyo.

  • 2

    vaa bila kujali.

Matamshi

jivalia

/ʄivalija/