Ufafanuzi wa jivu katika Kiswahili

jivu

nomino

  • 1

    vumbi la kitu kilichoteketezwa kwa moto.

    ifu

Matamshi

jivu

/ʄivu/