Ufafanuzi wa jizuia katika Kiswahili

jizuia

kitenzi sielekezi

  • 1

    acha kufanya jambo kwa sababu fulani.

  • 2

    shika mahali kuepuka kuanguka.

Matamshi

jizuia

/ʄizuIja/