Ufafanuzi wa jogoo la pili katika Kiswahili

jogoo la pili

msemo

  • 1

    wakati kabla ya alfajiri; saa kumi asubuhi hivi.