Ufafanuzi wa jopokazi katika Kiswahili

jopokazi

nominoPlural majopokazi

  • 1

    kundi la watu walioteuliwa rasmi kufanya kazi maalumu.

Matamshi

jopokazi

/ʄɔpɔkazi/