Ufafanuzi wa josho katika Kiswahili

josho

nominoPlural majosho

  • 1

    mahali pa kuogeshea wanyama k.v. ng’ombe na mbuzi kwa dawa.

    dipu

Matamshi

josho

/ʄɔ∫ɔ/