Ufafanuzi wa Jumapili katika Kiswahili

Jumapili

nominoPlural Jumapili

  • 1

    siku ya pili ya juma kuanzia Jumamosi.

    Dominika

Matamshi

Jumapili

/ʄumapili/